Habari za Punde

Dk Shein Akifutarisha Wananchi wa Wete Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akishiriki katika swala ya magharibi iliyoswalishwa na Sheikh Jamal Mohammed Abeid kabla ya futari iliyotayarisha kwa Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba
 Waislamu wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika swala ya jamaa ya Magharibi katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba kabla ya kushirikikatika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa wananchi hao leo,
 Waislamu na Waislamu wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  leo katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba
Waislamu na Waislamu wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  leo katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba

 Akinamama wa Vijiji tofauti vya  Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba kwa wananchi hao
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid na Bi Mauwa Daftari wakiwa katika futari iliyofanyika leo katika Ikulu ya Wete Pemba ambayo imetayarishwa kwa wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba
 Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman alipokuwa akitoa neno  la Shukurani kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo baada ya futari ya pamoja iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Wete
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akiagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha leo katika viwanja vya Ikulu Wete
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akiagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha leo katika viwanja vya Ikulu Wete
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kulia) akiagana na Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini  Pemba baada ya futari iliyofanyika leo katika Ikulu ya Wete  ambayo imetayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na familia yake kwa wananchi hao
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kulia) akiagana na Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini  Pemba baada ya futari iliyofanyika leo katika Ikulu ya Wete  ambayo imetayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na familia yake kwa wananchi hao, [Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.