Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Akabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano Cup kwa Timu ya Simba Kushinda Mchezo wa Fainali Dhidi ya Azam kwa Bao 1-0 Muchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano Cup kwa Nahodha wa Timu ya Simba Mohammed Hussein, baada ya kuifunga Timu ya Azam katika mchezo wa Fainali uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar,Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

 No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.