KATIBU
Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar
Ndg Chande Omar, akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wamiliki wa
Vyombo vya Habari Zanzibar kuhusiana na kuripoti habari za uchaguzi kwa makini
bila kutia utashi na upendeleo
WASHIRI
wa Kongamano la Siku moja kuzungumzia
kuripoti kwa habari za Uchaguzi Mkuu kwa Vyombo vya Habari,
wakimsikiliza Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar, Ndg Chande Omar,
akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa sanaa rahaleo na
kuhudhuriwa na Viongozi wa vyama vya siasa na wamiliki wa vyombo vya habari
Zanzibar
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha UMD Zanzibar Ndg. Mohammed
Omar , akichangia mada katika mkutano wa
Viongozi wa Vyama Siasa na Wakuu
wa Vyombo vya habari Zazibar kuzungumzia Muongozo wa Vyombo vya Habari kuripoti
habari za Uchaguzi Mkuu kwa usawa na haki bila ya upendeleo wa chama chochote
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa sanaa rahaleo
Mwakilishi wa Redio Coconut Fm akichangia katika mkutano huo.
Washiriki wakichangia mada zilizowakilishwa katika mkutano huo jinsi ya utendaji wa haki wakati wa kuripoti habari za Uchaguzi Zanzibar.
Mmiliki wa Kambuni ya Zanzibar Cable Ndg Mohammed akichangia katika mkutano huo wa Viongozi wa Siasa na Wamiliki wa vyombo vya Habari Zanzibar kutenda haki na kuripoti yaliokuwa sahihi sio kupotosha jamii.kuripoti habari zisio sahihi.
Mwakilishi mkutano hao akiwasilisha michango ya Group lao MKUwakati wa mkutano huo.Mwandishi wa Gazeti la Zanzibar leo akichangia wakati wa mkutano huo
Mshiriki kutoka Hits FM na Zanzibar Cable, Ndg Hafidh Kassim akichangia wakati wa Mkutano huo
Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg Chande Omar akizungumza na kujibu michango iliowasilishwa wakati wa mkutano huo na viongozi wa vyama vya Siasa Zanzibar.Mkutano huo umeandaliwa na Tume ya Utangazaji kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.
Washiriki wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakifuatia mada zilizowakilishwa na michango ya washiri kuboresha utendaji wa vyombo vya habari kutowa fursa sawa katika kutoa Taarifa za uchaguzi za ukweli.
Washiriki wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakifuatia mada zilizowakilishwa na michango ya washiri kuboresha utendaji wa vyombo vya habari kutowa fursa sawa katika kutoa Taarifa za uchaguzi za ukweli.
Mkurugenzi Idara ya Habari Zanzibar Ndg Rafii Haji akitowa ufafanuzi wakati wa Mkutano huo wa Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wamiliki wa Vyombo vya habari Zanzibar kutowa fursa sawa kwa Vyama vyote wakati wa kuripoti habari za Uchaguzi Mkuu mwaka huo unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2015.
Washiriki wakifuatilia Mkutano huo
Washiri kutoa Vyama vya Siasa na Wamiliki wa Vyombo vya Habari Zanzibar na Waandishi wakifutalia Mada zinazotolewa wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment