Afisa mdhamini wizara ya elimu na mafunzo ya amali, Pemba mwalimu Salim Kitwana
Sururu, akifungua mafunzo ya siku mbili kwa walimu wa somo la uraia wa mkoa wa
kaskazini Pemba, mafunzo yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar
LSC tawi la Pemba, na kufanyika skuli ya sekondari Madungu, kulia na Mratibu wa
kituo hicho Fatma Khamis Hemed,
Mratibu wa
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed
akiwaonyesha waalimu wa somo la uraia wa Mkoa wa kaskazini Pemba, Katiba ya
Zanzibar ya mwaka 1984, kwenye mafunzo kwa waalimu hao yaliofanyika skuli ya
sekondari Madungu mjini Chake chake, Pemba
Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za
Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Mohamed Hassan Ali, akichambua serikali ya
Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, kwenye mafunzo ya siku mbili kwa waalimu wa
somo la uraia wa mkoa wa kaskazini Pemba, yalioandaliwa na ZLSC na kufanyika skuli
ya sekondari ya Madungu mjini Chake chake,
Baadhi ya
waalimu wa somo la urai wa Mkoa wa kaskazini Pemba pamoja na watendaji wa
wizara ya elimu, wakimsikiliza Afisa Mdhamini wiara hiyo, Salim Kitwana Sururu
wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa waalimu hao, yalioandaliwa na Kituo
cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika skuli ya
sekondari Madungu,
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment