Habari za Punde

Dk Bilal ahudhuria na kuhutubia mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na India, New Delhi

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu wa India Dr. Narendra Moodi walipokutana kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Stadium Indiragandi mjini New Delhi India jana, wakati Makamu wa Rais alipohudhuria na kuhutubia mkutano wa tatu wa mahusiano ya India na Afrika kwa Wakuu wa Nchi hizo uliolenga na kujadili suala la kuendeleza fursa za kimahusiano katika Nyanja za Biashara, Sayansi, Teknolojia, Afya na Kilimo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu wa India Dr. Narendra Moodi walipokutana kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Stadium Indiragandi mjini New Delhi India jana, wakati Makamu wa Rais alipohudhuria na kuhutubia mkutano wa tatu wa mahusiano ya India na Afrika kwa Wakuu wa Nchi hizo uliolenga na kujadili suala la kuendeleza fursa za kimahusiano katika Nyanja za Biashara, Sayansi, Teknolojia, Afya na Kilimo.(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.