Habari za Punde

Kampeni za lala salama za ADC kisiwani Pemba

 MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Micheweni kwa tiketi ya Chama cha ADC, Shoka Khamis Juma akiwaonyesha wananchi wa micheweni karatasi yenye vipaombele vyake ili kuweza kumpigia kura.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ADC, Mhe:Chief Lutaresa Yemba akizungumza na wananchi wa micheweni wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho katika kiwanja cha Shamemata Micheweni Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.