Habari za Punde

Mkutano wa kufunga kampeni za kimajimbo wa CUF Tibirinzi , Pemba

 Sehemu ya wapenzi na wafuasi wa CUF waliohudhuria mkutano kufunga kampeni katika viwanja vya Tibirinzi Pemba leo hii

 Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Maji Mkongwe, Mhe Sanya akiwanasihi wafuasi wa CUF kuwapigia kura viongozi wao katika mkutano kufunga kampeni katika viwanja vya Tibirinzi Pemba leo hii
 Watoa huduma ya kwanza wakimbeba mmoja wa waliohudhuria Mkutano wa CUF baada ya kuzimia

 Mgombea Uwakilishi wa jimbo la Malindi, Mhe Ismail Jussa akimwaga sera na kuwanasihi wafuasi wa CUF kuwapigia kura viongozi wao katika mkutano kufunga kampeni katika viwanja vya Tibirinzi Pemba leo hii



 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha wananchi CUF Mhe: Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama na wafuasi wa CUF katika mkutano wa kufunga kampeni kisiwani Pemba uliofanyika viwanja vya Tibirinzi leo hii 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.