Habari za Punde

Wagombea Ubunge na Uwakilishi Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya CCM,Waandaa Bonaza la Michezo ya Asili Viwanja vya Mpira Bungi

Washiriki wa mchezo wa kukuna nazi wakishindana katika Bonanza la michezo ya Jimbo la Tunguu yaliyofanyika kiwanja cha Bungi Mkoa wa Kusini Unguja.
                                   Mmoja wa washiriki akifurahia kumaliza kukuna nazi.
Mgombea Uwakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi Ndg. Simai Mohammed Said wa Jimbo la Tunguu Unguja ,akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa Michezo ya Asili ya Bonaza iliofanyika katika viwanja vya mpira Bungi Wilaya ya Kati Unguja.na Mwenyekiti wa CCM Jimbo Tunguu Khatib Ramadhan Iddi (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdallah Ali.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Abdallah Ali akizungumzac na Wananchi wa Jimbo la Tunguu, wakati wa kukapidhiwa zawadi washindi wa michezo ya asili iliofanyika katika viwanja vya tunguu. 
Mwenyekiti wa CCM Jimbo Tunguu Ndg Khatib Ramadhan Iddi akimkabidhi zawdi mshindi wa michezo ya Bonaza lililofanyika katika viwanja vya mpira Bungi, Wilaya ya kusini.Unguja,akipokea zawdi hiyo ya ushindi wa mchezo wa Nage timu ya Bungi (B) Shida Saidi.(kulia) mgombea Ubunge Jimbo la Tunguu Unguja Ndg. Khalifa Salim Suleiman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.