Habari za Punde

Wakaazi wa jiji la Mwanza walipoonesha mapenzi ya dhati kwa CCM, uwanja wa Furahisha

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake katika uwanja wa Furahisha mapema jana kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na Maelfu ya watu. Video na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.