Habari za Punde

Kongamano la siku moja la Amani kwa vijana wa Zanzibar

 Meza kuu kwenye Kongamano la amani kwa vijana wa Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Mstaafu wa Zanzibar Aman Abeid Karume. Kongamano la siku moja liliandaliwa na Taasisi ya Friends of Zanzibar na kufanyika katika ukumbi wa Baytul Yamin

 Mmoja katika waendesha Kongamano la Amani kwa vijana wa Zanzibar akitoa Mada mojawapo
 Waandalizi wa  Kongamano la amani kwa vijana wa Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja na  Rais Mstaafu wa Zanzibar Aman Abeid Karume. Kongamano la siku moja liliandaliwa na Taasisi ya Friends of Zanzibar





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.