Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar alipokutana na viongozi wa dini mbali mbali katika Ofisi ya Mufti Zanzibar, kuendeleza mazungumzo ya kumaliza mkwamo wa kisiasa Zanzibar (Picha na OMKR)
Wagonjwa wanaoishi na Maradhi Yasioambukiza kutumia dawa kwa mujibu ya
maelekezo ya Daktari
-
Meneja wa Muungano wa Jumuiya ya Maradhi Yasioambukiza Zanzibar
(Z-NCDA), Haji Khamis Fundi akitoa maelezo juu ya Kazi zinazotekelezwa na
Jumuiya kat...
10 minutes ago
Na ukitaka kujua kwamba wenzetu wanatufanya MAJUHA angalia hata magazeti yanayochagiza habari za ugaidi na machafuko ya kisiasa na mabomu Z'bar ni yepi hapa TZA.
ReplyDeleteGazeti la ARUSHA TIMES hua la kwanza, mimi ni msomaji mzuri wa gazeti hili la kila wiki kwa njia ya mtandao.
Gazeti hili lilianzishwa kwa lugha ya kiingereza sio kwa ajili ya wenyeji, bali kusaidia kukuza biashara ya utalii na kuwapatia wageni habari za ndani ya nchi.
Mkoa wa ARUSHA ndio mshindani wetu mkubwa ktk biashara ya utalii hapa TZA, na ni faida kubwa kwao wanapoona Z'bar ina machafuko kwa vile wazungu wataelekea kwao na hivo kunufaika kiuchumi.
Wakipata upenyo kama huu hawaachi kuandika ktk gazeti lao la ARUSHA TIMES! Nakumbukwa mwezi uliopita walidai eti imethibitika kwamba wale wazungu waliomwagiwa ACID kipindi kile lilikua ni tukio la KIGAIDI dhidi ya watalii lkn. matukio ya mabomu ARUSHA hata hawakuandika!
JAMANI TUWENI MAKINI, WENZETU WANATUFANYA MAJUHA!!!