Habari za Punde

Maalim Seif akutana na viongozi wa dini kwa mazungumzo


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar alipokutana na viongozi wa dini mbali mbali katika Ofisi ya Mufti Zanzibar, kuendeleza mazungumzo ya kumaliza mkwamo wa kisiasa Zanzibar (Picha na OMKR)



1 comment:

  1. Na ukitaka kujua kwamba wenzetu wanatufanya MAJUHA angalia hata magazeti yanayochagiza habari za ugaidi na machafuko ya kisiasa na mabomu Z'bar ni yepi hapa TZA.

    Gazeti la ARUSHA TIMES hua la kwanza, mimi ni msomaji mzuri wa gazeti hili la kila wiki kwa njia ya mtandao.

    Gazeti hili lilianzishwa kwa lugha ya kiingereza sio kwa ajili ya wenyeji, bali kusaidia kukuza biashara ya utalii na kuwapatia wageni habari za ndani ya nchi.

    Mkoa wa ARUSHA ndio mshindani wetu mkubwa ktk biashara ya utalii hapa TZA, na ni faida kubwa kwao wanapoona Z'bar ina machafuko kwa vile wazungu wataelekea kwao na hivo kunufaika kiuchumi.

    Wakipata upenyo kama huu hawaachi kuandika ktk gazeti lao la ARUSHA TIMES! Nakumbukwa mwezi uliopita walidai eti imethibitika kwamba wale wazungu waliomwagiwa ACID kipindi kile lilikua ni tukio la KIGAIDI dhidi ya watalii lkn. matukio ya mabomu ARUSHA hata hawakuandika!

    JAMANI TUWENI MAKINI, WENZETU WANATUFANYA MAJUHA!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.