Habari za Punde

Muembe Njuguu Mpya Huoo Ukinawiri Katika Eneo Hilo.

 Hatimai Ule Muembe Njuguu  ukistawi baada ya kupanda muembe huo hivi karibuni kurejesha ile mandhari ya eneo hili enzi hizo kulikuwa na muembe katika barabara hii inayounganisha barabara za mikunguni na kwenda kwa Mohamemd Ali na kwenda kwa Boko ukiwa katika hali hiyo na tayari ukiwac umeshakoa embe za mzao wa kwanza. ili kurejesha historia ya muembe huu.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.