Habari za Punde

Mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa Kupitishia Maji Uwanja wa Mnazi Mmoja Ukiendelea kwa Kwasi.

Mradi wa ujenzi wa mtaro wa kupitishia maji kutoka katika uwanja wa mnazi mmoja ukiendelea na ujenzi wake unaofanywa na Kampuni ya Ujenzi ya Kichina ili kuurejesha katika hali yake na kutumika kwa muda wote kwa michezo katika uwanja huo. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.