Habari za Punde

Afisa Habari wa ZFA Ali Bakari Cheupe Azungumzia Kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa Dharura wa ZFA Taifa Jumapili Zanzibar.


Afisa Habari wa Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar ZFA Ali Bakari Cheupe, akizungumza na Waandishi wa habari wa Michezo Zanzibar kuzungumzia kwa kukamilika maandalizi ya Mkutano Mkuu wa ZFA unaotarajiwa kufanyika Jumapili katika Ukumbi wa Judoka Amani.na kupitia katiba na kutowa Taarifa ya Mapato na Matumizi ya ZFA kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.