Thursday, December 17, 2015

Ligi Kuu ya Zanzibar Miembeni na Jangombe Boys Zimetoka sare ya 1--1

Mashabiki wa Timu ya Jangombe Boys wakishangilia timu yao baada ya kupata bao la kwanza katika kipindi cha pili wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan
Mashabiki wa Timu ya Jangombe Boys wakishangilia timu yao baada ya kupata bao la kwanza katika kipindi cha pili wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa AmaanMshambuliaji wa Timu ya miembeni akipiga mpira kichwa huku beki wa Timu ya Jangombe Boys akijiandaa kuokoa mpira huo.

No comments:
Write Maoni