Saturday, December 19, 2015

Mandhari ya hoteli mpya ya Muyuni kisiwani Pemba

Mandhari ya nje ya Hoteli ya Muyuni , inayomilikiwa na Kampuni ya AYYANA, ya Mauritius ambayo iko katika eneo la  Makangale Kisiwani Pemba. ambapo Mkurugenzi mkaazi wa ZIPA, Fadhila Hassan Abdalla, akitoa maelezo juu

ya muwekezaji huyo alivyopiga hatuwa na kufikia kiwango cha uwekezaji unaotakiwa na ZIPA na Kamisheni ya Utalii kwa sasa. Picha na Bakar Mussa