Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli Azungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Ikulu Dar Leo.Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad wakiwa Ikulu ya Dar es Salaam leo asubuhi baada ya mazungumzo yao.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalif Seif Sharif Hamad akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli Ikulu Dar. 
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamah Ikulu Dar leo.kushgoto Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli. 
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, baada ya mazungumzo yao Ikulu Dar es Salaam leo asubuhi kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan.(Picha na Salmin Sain OMKR) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.