MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, December 17, 2015

Zanzibar ni Njema

Wageni mbali mbali wanaotembelea Zanzibar kwa ajili ya Utalii wa Zanzibar kutembelea sehemu mbalimbali za Historia ya Zanzibar, kama wanavyoonekana watalii hawa wakitembelea sehemu hizo za zanzibar wakiwa wamejivunika miavuli wakati mvua ikinyesha wakiwa katika eneo la forodhani beit la ajaab