Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Azungumza na Rais wa FIFA Dar leo.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo 

Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea na Makamu wa Rais wa 

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. Salman Bin Ebrahim Al 

Khalifa kushoto kuhusiana na maendeleo ya michezo 

nchini,katikati ni Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania 

Bw. Jamali Malinzi

Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Bw. 

Salman Bin Ebrahim Al Khalifa katikati akiongea na Katibu Mkuu 

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante 

Ole Gabriel kulia kuhusiana na maendeleo ya michezo nchini, wa 

kwanza kushoto ni Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu 

Tanzania Bw. Jamali Malinzi.
(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.