WAZIRI wa
nchi, ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akiondoa
kitambaa kuashiri kuzinduwa umeme katika kijiji cha Kwasanani Mwambe wilaya ya
Mkoani Pemba, ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya
Zanzibar,
WAZIRI wa
nchi, Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe: Mohamed Aboud Mohamed akibonyeza
kitufe kuashiria uzinduzi wa umeme katika kijiji cha Kwasanani Mwambe, ikiwa ni
miongoni mwa shamrashamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar
ARAFA
Hamad Juma mkaazi wa Jombwe Mwambe akisoma utenzi mara baada ya Waziri wa nchi
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Mohamed Aboud kuzinduwa umeme katika
kijiji cha kwasanani, ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za kutimiza miaka 52
ya Mapinduzi ya Zanzibar
MKUU wa
Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman Abdalla akizungumza na wananchi wa Mwambe
Kwasanani katika sherehe ya uzinduzi wa umeme
WAZIRI wa
nchi ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Mohamed Aboud akizungumza na wananchi katika
kijiji cha Mwambe Kwasanani, mara baada ya kuuzinduwa umeme, ikiwa ni miongoni
mwa shamrashamra za miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar (Picha na Habiba Zarali, Pemba).
No comments:
Post a Comment