Habari za Punde

Michuani ya Kombe la Mapinduzi Kati ya Azam na Mafunzo Uwanja wa Amaan Timu ya Mafunzo imeshinda 2--1.

Kikosi cha Timu ya Azam kilichokubali kipigo kwa Timu ya Mafunzo ya Zanzibar kufungwa mabao 2--1juu ya Ushindi huo timu ya Mafunzo imefikisha point 3 na timu ya Azam imefikisha pointi 2 katika kundi lao na timu hizo zote imeyaaga mashindano hayo ya Kombe la Mapinduzi kwa hatua ya Mwazo ya Makundi.
 Mchezaji wa Timu ya Mafunzo akimpita mchezaji wa Timu ya Azam wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mafunzo imeshinda 2--1.
Mshambuliaji wa Timu ya Azam akimpita beki wa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi. 
Mchezaji wa Timu ya Azam akijiandaa kuwapita mabeki wa Timu ya Mafunzo.
Wachezaji wa Timu ya Azam na Mafunzo wakiwania mpira.
Wachezaji wa Timu ya Azam wakishangilia bao lao la kwanza dhidi ya Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wa Kombe la Mafunzo Timu ya Mafunzo imeshinda mchezo huo kwa mabao
 2--1.
Mchezaji wa Timu ya Azam akimpita mchezaji wa Timu ya Mafunzo wakati wa Mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi lililofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.