Habari za Punde

Ufunguzi wa Skuli ya Mnarani Wilaya ya Micheweni Pemba.

Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Skuli ya Msingi Mnarani leo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyojengwa  kwa  Nguvu za wananchi na Ufadhili ya Shirika la Milele Foundation la Zanzibar,ufunguzi huo ikiwa katika shamra shamra za kusherehekea miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Katibu Mkuu Wizra ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi.Khadija Bakari na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (kushoto
Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani leo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyojengwa  kwa  Nguvu za wananchi na Ufadhili ya Shirika la Milele Foundation la Zanzibar,ufunguzi huo ikiwa katika shamra shamra za kusherehekea miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiuliza jambo kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kushoto) baada ya kuifungua   Skuli ya Msingi Mnarani   Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,iliyojengwa  kwa  Nguvu za wananchi na Ufadhili ya Shirika la Milele Foundation la Zanzibar,  ikiwa katika shamra shamra za kusherehekea miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanafunzi  mara baada ya kuifungua na kuitembelea  Skuli ya Msingi Mnarani   Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,iliyojengwa  kwa  Nguvu za wananchi na Ufadhili ya Shirika la Milele Foundation la Zanzibar,  ikiwa katika shamra shamra za kusherehekea miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba
 Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Mnarani   Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua rasmi leo ikiwa ni katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Baadhi ya Wazee,Walimu na Wanafunzi wa Mnarani Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua rasmi Skuli ya Msingi Mnarani leo ikiwa ni  katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba
  Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani wakimsikiliza Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua rasmi Skuli ya Msingi Mnarani leo ikiwa ni  katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
 Wananchi na Wanachama w Chama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani wakimsikiliza Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua rasmi Skuli ya Msingi Mnarani leo ikiwa ni  katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba
 Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na wasoma utenzi Salama Nassor Shehe na Sharifa Juma Hamadi katika hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani  Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyojengwa kwa ushirikiano wa Serikali,Nguvu za Wananchi na Shirika la Milele Zanzibar Foundation  leo ikiwa ni katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akipokea Risala kutoka kwa Mossi Hamadi Khamis katika sherehe ya ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani  Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyojengwa  kwa ushirikiano wa Serikali,Nguvu za Wananchi na Shirika la Milele Zanzibar Foundation  leo ikiwa ni katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. 
 Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Mkurugenzzi Mkuu wa Shirika la Milele Zanzibar Foundaation Yousuf Caires wakati wa sherehe ya  ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani  Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyojengwa  kwa ushirikiano wa Serikali,Nguvu za Wananchi na Shirika la Milele Zanzibar Foundation  leo ikiwa ni katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman alipokuwa akitoa salamu za Mkoa kwa Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein kabla ya kuzungumza na Wananchi,Walimu na Wanafunzi pamoja na viongozi mbali mbali waliohudhuria katika ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani  Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyojengwa  kwa ushirikiano wa Serikali,Nguvu za Wananchi na Shirika la Milele Zanzibar Foundation  leo ikiwa ni katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali   Ali Juma Shamuhuna akimakaribisha Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Wananchi, pamoja na viongozi mbali mbali waliohudhuria katika ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo iliyojengwa  kwa ushirikiano wa Serikali,Nguvu za Wananchi na Shirika la Milele Zanzibar Foundation   ikiwa ni katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzbar na Menyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi, pamoja na viongozi mbali mbali waliohudhuria katika ufunguzi wa Skuli ya Msingi Mnarani  Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo iliyojengwa  kwa ushirikiano wa Serikali,Nguvu za Wananchi na Shirika la Milele Zanzibar Foundation   ikiwa ni katika sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ikulu.]

1 comment:

  1. Mbona hakuna picha za majengo ya skuli. Madarasa mangapi?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.