Habari za Punde

Waziri Haji Omar Kheri Azindua Mradi wa Maji Makunduchi Zanzibar.

 Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akisalimiana na wafanyakazi wa Mamla ya Maji Zanzibar (ZAWA) mara baada ya kufika Kijiji cha Makunduchi kufungua mradi wa Miji ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar
 Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akifungua pazia pamoja na kufungua Maji kuashiria ufunguzi rasmin wa Mradi wa Maji safi katika Kijiji cha Makunduchi Mkoa kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akifungua pazia pamoja na kufungua Maji kuashiria ufunguzi rasmin wa Mradi wa Maji safi katika Kijiji cha Makunduchi Mkoa kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Tenki jipya la kuhifadhia Maji lililopo Makunduchi.
 Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Ali halili Mirza akitoa taarifa ya kitalamu wakati wa ufunguzi wa Mradi wa Maji safi uliozinduliwa Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja.
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Idara Maalum Muh. Haji 

Omar Kheri akizungumza na wananchi wa Makunduchi 

katika ufunguzi wa mradi wa Maji safi, ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya 

Zanzibar. Amewataka wananchi wa kijijihicho kushirikana na 

Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) ili kuendeleza miundo 

mbinu hiyo na piaamewata kuchangia kiasi cha pesa kwa 

wale watakao pata Maji
Baadhi ya wageni walikwa waliohudhuria katika ufunguzi wa Mradi wa Maji safi uliozinduliwa Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.