Habari za Punde

Leo ni Birthday ya Mdau Dixon Busagaga.

Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini na mmiliki wa Busagaga's Orijino blog akifurahia jambo na Mama yake mzazi ,Mwalimu Eustera Massatu
Dixon usagaga akionesha zawadi alizoanza kupokea.
Dixon Busagaga akiendelea na majukumu ya kila siku.

"Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunipa pumzi ya uhai hadi sasa,Nawashukuru wazazi wangu ,Mwl Eustera Massatu na Abdalah Hussein Mbaruku kwa malezi waliyonipatia,nawashukuru ndugu,jamaa na rafiki zangu wote na hasa mke wangu kwa kuendelea kunifunza"
"Mungu aawatangulie nyote mnaonendelea kutoa mchango mkubwa wa mawazo"
"Munu awabariki sana ,Ameen."

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.