MATANGAZO MADOGO MADOGO

Saturday, February 6, 2016

Maalim Seif azungumza na viongozi wa CUF Mkoa wa Dar


  Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam.


 Baadhi ya viongozi wa CUF Mkoa wa Dar es Salaam wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, Ofisi Kuu za Chama hicho Buguruni jijini Dar es Salaam. (Picha na OMKR)