Monday, February 29, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA TANGA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Tanga katika kikao maalum kilichoangaliwa kwa ajili yake kilichofanyika Ikulu ndogo mjini Tanga