Viongozi mbali mbali wa ZFA Zanzibar wakiongozwa na Rais wa Chama Mpira Zanzibar ZFA Wakiongozwa na Rais wa ZFA Ndg.Ravia Idarous katikati wakiwa wamesemama kwa dakika moja kuwaombea dua viongozi mbali mbali wa ZFA na wanamichezo waliofariki dunia kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa dharura wa ZFA, uliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa Zamani Kikwajuni Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Michezo Zanzibar Mwalimu Khamis Ali Mzee,
akifungua Mkutano Mkuu wa Dharura wa ZFA,uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa Zamani Kikwajuni Zanzibar, na kuwashirikisha Wajumbe kutoka Unguja na Pemba kuzungumzia hatma ya Mchezo wa Soka Zanzibar.(Picha na Abdi Suleiman.)
No comments:
Post a Comment