Makamu
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Bi. Zaynab Matitu akiongea na
waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusu kushiriki katika michezo itayofanyika
Machi 5 mwaka huu ili kuadhimisha siku
ya Wanawake Duniani katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
kushoto ni Mwenyekiti wa wa Baraza hilo Bw. Diomiz Malinzi.
TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2025
-
Bofya Hapa Kutazama Matokeo
MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2025
2 hours ago


No comments:
Post a Comment