Monday, March 28, 2016

Breaking News Dk Shein Amteuwa Balozi Seif Ali Iddi Kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 39 (2) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, amemteua Mhe Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Uteuzi huo umeanza leo 28,March 2016.