Habari za Punde

Breaking News Dk Shein Amteuwa Balozi Seif Ali Iddi Kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu cha 39 (2) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, amemteua Mhe Balozi Seif Ali Iddi kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Uteuzi huo umeanza leo 28,March 2016.

1 comment:

  1. Wapeana vyeo wenyewe kwa wenyewe kama huyajui uliza uambiwe si mageni hayo tulijua tu itakua hivyo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.