Habari za Punde

Wawakilishi Wateule Wapata Mafunzo ya Kushiriki Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Tisa Linalotegemewa Kuanza Kesho

Wajumbe wa Wateule wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiwa katika ukumbi mdogo wa mkutano kupata maelezo ya kushiriki Kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachotarajiwa kuaza kesho kwa shughuli ya kuapisha na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein.
Wawakilishi Wateule wakipitia makabrasha kabla ya kuaza kikao cha kupata maelezo ya kuaza kwa Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Tisa linalotarajiwa kuaza kesho.
Wajumbe Wateule wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakipitia ajenda za mkutano wa maelezo ya kuaza kwa Baraza kesho. 
Wawakilishi Wateule wa Baraza la Wawakilishi wakipitia Ajenda za Mkutano huo kabla ya kuaza. 


Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dk Yahya Khamis Hamad akifungua mkutano huo wa kutowa maelezo ya mambo ya kuzingatia wakati wa kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Baraza lac Tisa unaotarajiwa kuaza kesho katika Ukumbi wa Baraza la wawakilishi kwa kuapishwa na kumchagua Spika wa Baraza la Wawakilishi na Rais wa Zanzibar kulizindua kuaza kazi yake. 
Wawakilishi Wateule wakimsikiliza Katibu wa Baraza akizungumza na Wajumbe hao wateule wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi mdogo wa baraza Chukwani Zanzibar.
Waheshimiwa wakiwa makini wakifuatilia maelezo yas Katibu wa Baraza wakati wa Mkutano huo wa kwanza Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe Said Hassan Said na Mwakilishi Mteule wa Makunduzi Mwalim Haroun Ali Suleiman.
Wajumbe Wateule wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo wakati yakitolewa na Katibu wa Baraza Dk Yahya Khamis Hamad.
Wawakilishi Wateule wakiwa makini kufuatilia maelezo hayo yakitolewa na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Dk Yahya Khamis Hamad.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.