Habari za Punde

Zoezi la kupiga dawa majumbani na ugawaji vyandarua kuanza tarehe 16 March

 Msaidizi Meneja kitengo cha kumaliza Malaria Zanzibar Mwinyi Issa Mselem akifungua akifungua Mkutano wa wandishi wa Habari kuhusu zoezi la upigaji dawa majumbani na ugawaji vyandarua vipya utakaoanza tarehe 16 mwezi  huu.
 Afisa Afya kitengo cha Malaria Zanzibar Mwinyi Issa Khamisi akielezea historia ya ugawaji wa vyandarua kwa wandishi wa habari katika Mkutano uliofanyika Ofisi ya malaria Manakwerekwe Zanzibar.


Afisa Afya kitengo cha Malaria Zanzibar Mwinyi Issa Khamisi akielezea historia ya ugawaji wa vyandarua kwa waandishi wa habari katika Mkutano uliofanyika Ofisi ya malaria Manakwerekwe Zanzibar.


Mratibu wa upigaji dawa majumbani kutoka shirika la ABT Zanzibar Abdallah Rashid Salum akitoa elemu juu ya upikaji dawa majumbani. 

Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.