MRATIBU wa
Jumuiya ya JISEUMA ya Kisiwa Pemba Kisiwani Pemba, Juma Ali Mati akiwaonyesha
viongozi wa Jumuiko la Mabadiliko ya Tabia ya Nchi ZACCA, juu ya aina mbali
mbali za miti ya mikandaa iliyokuwa bora zaidi kupanda, mara baada ya kuwasili
katika bonde la Msiyakwe Wambaa.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA).
SUALA la
Mabadiliko ya Tabia ya nchi limekuwa likiathiri miti ya aina mbali mbali, picha
miti aina ya mikoko ikiwa imekufa katika bonde la Msiyakwe sheria ya Wambaa Wilaya
ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA).
VIONGOZI wa
Jumuiko la Mabadiliko ya Tabia ya nchi Zanzibar ZACCA, wakiungana na
wanakikundi cha uhifadhi mazingira shehia ya Wambaa, kwa kupanda miti ya
mikandaa katika bonge la msiyakwe.(Picha

MWENYEKITI
wa kikundi cha Umoja Wetu Mohamed Juma Hamad, kinachojishuhulisha na upandaji
wa miti ya mikoko, kwa lengo la kuzuwia mabadiliko ya Tabia ya nchi,
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji wa
miti hiyo.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA).
KATIBU mkuu
wa Jumuiko la mabadiliko ya Tabia ya nchi Zanzibar ZACCA, Iddi Shaban Idd
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa zoezi loa
upandaji wa miti ya mikandaa katika bonde la Msiyakwe Wambaa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).
AFISA
mipago wa Jumuiko la mabadiliko ya Tabia ya nchi Zanzibar ZACCA, Mustafa Iman
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa zoezi loa
upandaji wa miti ya mikandaa katika bonde la Msiyakwe Wambaa.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA).
No comments:
Post a Comment