Monday, June 20, 2016

Usijaribu kula mchana wa Ramadhan, Chakechake!

VIJANA wa Wilaya ya Chake Chake wakimuadhibu mmoja ya kijana mwenzao baada ya kumkuta anakula mchana wa mwezi wa Ramadhani katika maeneo ya mji wa Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)