Habari za Punde

Wanafunzi wa Chuo cha Fedha Chwaka Wapata Elimu ya Dawa za Kulevya.

Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Uratibu Athari na Udhibiti wa Dawa ya Kulevya Zanzibar Dk.Mahmoud ussa,akifungua mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka,juu ya athari za matumiziya Madawa ya Kulevya,wakati wa wikiya siku ya kupambana na madawa hayo Duniani.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Uongozi wa Umma Chwaka,wakipata dozi kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya kudhibiti Ukimwi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.