Habari za Punde

Waziri wa Fedha Azungumza na Waandishi wa Habari Kuhusiana na kupotea kwa Fedha Katika Baadhi ya Wizara za Serikali.


Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na upotevu wa fedha za Serikali na kusimamisha kazi Wahasibu 12 ili kupitisha uchunguzi wa upotevu wa fedha hizo za Serikali. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Zanzibar 
Waandishi wakiwa makini wakimsikiliza Mhe Waziri wa Fedha wakati akitowa taarifa hiyo kwa Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar.
Waandishi wa habari wa wakimsikiliza Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid akizungumzia kuhusiana na kusimamishwa kazi Wahasibu 12 kwa upotevu wa fedha za Serikali katika Wizara mbalimbali ili kupisha uchunguzi wa upotevu huo wa fedha hizo. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.