Habari za Punde

Mchezo wa Karata hushamiri wakati wa mfungo wa Ramadhaan

 MCHEZO wa karata kwa baadhi ya maeneo hujitokeza zaidi kipindi cha mwezi wa Ramadhani, ingawa kwa vijana wanaokwenda maskani ya wazee wa CCM Mkoani Pemba, mchezo huu upo daima, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.