Habari za Punde

Asli na Jadi ya Mswahili iliyopotea

 AINA moja wapo ya chumba cha mswahili kilivyokuwa kwenye karne ya 18, ambapo kwa sasa utamaduni kwa wazanzibar umepotea na kubakia kwenye majengo ya kihistoria, ikiwa ni pamoja lililopo Chakechake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AINA vyombo vinavyotengenezwa kwa kutumia udongo maalumu, vya matumizi ya ndani vilivyokuwa vikitumiwa na mababu na mabibi miaka michache iliopita, ambapo kwa sasa vimeshaachwa na kutumika vyombo vya bati, kigae na plastiki na aina hii kubaki kama historia, (Picha Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.