Habari za Punde

Wafanyakazi wa Gazeti la Zanzibar Leo Wapata Elimu ya Kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Yussuf Khamis akizungumza wakati wa mkutano huo na Viongozi wa Bima ya Afya walipofika kutoa Elimu ya Mfuko huo na faida zake wakati ukiwa mwanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF) 
 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Tawi la Zanzibar Ndg Ismail Nuhu Kongeta akinesha kipeperushi kinachotowa maelezo ya kujiunga na Bima ya Afya kwa Watoto wadogo wakati wa mkutano wa kutowa elimu kwa wafanyakazi wa gazeti la zanzibar leo katika ukumbi wa ofisi hizo rahaleo kuwahasisha kujiunga na mfuko huo. 
 Wa
Wafanyakazi wa Shirika la Magezeti la Zanzibar Leo wakimsikiliza Meneja waMfuko wa Bima ya Taifa Afya  Tawi la Zanzibar Ndg Ismail Nuhu Kongeta akitowa maelezi faida ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Wananchi wakati wanapopata huduma katika hospitali kupitia kadi yao ya bima ya afua kwa urahishi baada ya kujiunga na mfuko huo. mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa ofisi hizo rahaleo zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.