Habari za Punde

DK.Shein Aonana na Balozi Mdogo wa India Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na  Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akifuatana na   Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya  mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.