Habari za Punde

Mahujaji wa Zanzibar 391 Waondoka Jana Usiku Kuelekea Makka Kutekeleza Ibada ya Hijja

Afisa Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndh Anasi Rashid Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuwaaga Mahujaji wa Zanzibar PBZ kupitia Benki yake ya Islamic imetowa misaada ya chakula na maji kwa mahujaji hao wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar wakisubiri kuaza safari yao hiyo, Kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia Jumla ya Mahujaji 391 kutoka Zanzibar wanahudhuria Ibada hiyo ya Hijja Makka. 
Afisa wa PBZ akigawa Vyakula na Maji kwa Mahujaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Afisa wa PBZ akigawa Vyakula na Maji kwa Mahujaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Afisa wa PBZ akigawa Vyakula na Maji kwa Mahujaji katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Mahujaji wa Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya kuaza Safari yao Nchini Makka kwenda kuhiji wakikamilisha taratibu za kuchukua vitambulisho kupitia Taasisi zinazohusika na usafirishaji wa Mahujaji Zanzibar. wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar. 
Mahujaji wa Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya kuaza Safari yao katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar.
Hujaji akiwasili katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kuaza safari yake kwenda Makka kutimiza Nguzo ya Kiislamu ya Hijja.

Ndugu na Jamaa wa Mahujaji wa Zanzibar wakiwashindikiza Jamaa zao katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ajili ya kuwaaga.


Mahujaji wakifanya taratibu za kuaza safari yao kuelekea Makka wakichukua tiketi zao, Mahujaji hao wameondoka na Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia.  
Mahujaji wa Zanzibar wakielekea katika chumba cha kuondokea abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.