Habari za Punde

Makatibu wakuu wakiongozwa na Katibu Kiongozi wafanya ziara ZBC Redio

 Mkuu wa Watangazaji ZBC Radio Suzan Kunambi akitoa maelezo kuhusiana na Utangazaji katika ziara ya Makatibu Wakuu walioifanya katika shirika la ZBC Radio Zanzibar.

 Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee kulia akiwapamoja na Makatibu wakuu mbalimbali wakisikiliza maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa ZBC Radio, Ali Aboud Talib kushoto katika ziara walioifanya ili kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili shirika hilo Zanzibar.

 Fundi Mkuu wa ZBC Radio Ali Aboud Talib akiwaonesha jambo makatibu Wakuu  katika sehemu ya kuhifadhia CD mbalimbali walipofanya ziara katika shirika la ZBC Radio Zanzibar.
 Mhariri Mkuu wa Gazeti la Zanzibar Leo Ramadhani Makame akitoa maelezo kuhusiana na utendaji kazi katika ziara ya Makatibu Wakuu walioifanya katika Ofisi za Gazeti hilo Rahaleo Zanzibar.
 Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee akiwa pamoja na Makatibu Wakuu wakimsikiliza Mkuu wa Chumba cha Kompyuta Zanzibar Leo Rabia Bakari walipofanya ziara katika Ofisi za Gazeti hilo Rahaleo Zanzibar.


Katibu Mkuu Kiongozi Abdulhamid Yahya Mzee kushoto akiwa pamoja na Makatibu Wakuu wakiwa katika ziara katika shirika la ZBC radio Zanzibar.

PICHANA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.