Habari za Punde

Msimamo wa Ligi Kuu Nane Bora Zanzibar. Kocha Msoma Asema Tutalipa Kisasi Dhidi ya Zimamoto

Ligi kuu ya soka Zanzibar hatua ya nane bora itaendelea tena kesho kwa michezo miwili.


Kwenye dimba la FFU Finya, African Kivumbi itaumana na Jamhuri huku uwanja wa Amaan ukizikutanisha klabu za maafande za KVZ dhidi ya Zimamoto.

Kocha wa klabu ya KVZ Abdulghan Himid Msoma alisema pambano hilo litakua na upinzani mkali kutokana na kikosi chake kupoteza mchezo wa awali kwenye hatua hii ya nane bora kwa kichapo cha bao mbili kwa bila.

Kabla ya michezo hiyo ya kesho msimamo wa ligi upo kama hivi:

POS
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
ZIMAMOTO
11
8
2
1
25
7
18
26
2
KVZ
10
7
2
1
18
6
12
23
3
JKU
11
6
3
2
26
7
19
21
4
MAFUNZO
11
5
2
4
20
12
8
17
5
CHIPUKIZI
11
4
1
6
15
19
-4
13
6
JAMHURI
11
3
3
5
9
13
-4
12
7
MWENGE
10
2
3
5
11
18
-7
9
8
AFR/KIVUMBI
11
-
-
11
  6
48
-42
-

Jumla ya mabao 130 yamefungwa kupitia michezo 43 ambayo imeshachezwa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.