WASHIRIKI wa kongamano la maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo, lililotararishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika skuli ya maandalizi Madungu mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WASHIRIKI wa kongamano la maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo, lililotararishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika skuli ya maandalizi Madungu mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed, akielezea juu ya msimamo wa kituo hicho, juu ya kupinga adhabu ya kifo, kwenye kongamano la maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani, lililofanyika skuli ya maandalizi Madungu mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWANASHERIA Ali Mbarouk kutoka Jeshi la Polisi mkoa wa kusini Pemba, akiwasilisha mada ya sheria za jinai kwenye kongamano la siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani, lililofanyika skuli ya maandalizi Madungu mjini Chakechake, Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
SHEIKH Said Ahmad kutoka Ofisi ya Mufti Pemba, akiwasilisha mada ya mtazamo wa dini ya kiislamu juu ya adhabu ya kifo, kwenye kongamano la kuadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani, lililotayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba na kufanyika skuli ya maandalizi Madungu Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MCHUNGAJI wa kanisa la T.A.G kutoka Chakechake Pemba Yohana Ally, akiwasilisha mada ya mtazamo wa dini ya kikiristo, juu ya adhabu ya kifo, kwenye kongamano la kuadhimisha siku ya kupinga adhabu ya kifo duniani, lililotayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba na kufanyika skuli ya maandalizi Madungu Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MSHIRIKI wa kongamano la kupinga adhabu ya kifo, akitaka ufafanuzi, Abubar Mohamed, kwenye kongamano hilo ambalo lililiandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibara ZLSC tawi la Pemba na kufanyika skuli ya maandalizi Mdungu Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
MSHIRIKI wa kongamano la kupinga adhabu ya kifo, akiuliza suali, kwenye kongamano hilo Asha Mussa, ambalo lililiandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibara ZLSC tawi la Pemba na kufanyika skuli ya maandalizi Mdungu Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Khalfan Amour Mohamed, akitoa ufafanuzi juu ya msimamo wa ZLSC, kwenye kupinga adhabu ya kifo, kabla ya kufungwa kwa kongamano hilo lililoambatana na siku ya kimataifa ya kupinga adhabu ya kifo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment