Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Najma Murtaza Giga akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya ya Wazazi baada ya kuzindua Ofisi ya Jumuiya hiyo Mkoa Magharibi Mwera.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Najma Murtaza Giga akimkabidhi Komputer na Printer Katibu Mkuu wa Wazazi wa Mkoa wa Magharibi kichama Mohd Abdi baada ya kuzindua Ofisi ya Jumuiya hiyo huko Mwera.
Viongozi waliohudhuria hafla hiyo wakifuatilia hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wazazi Najma Murtaza Giga wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Jumuiya hiyo mkoa wa Magharibi.
Picha na Salmin Said Nasor/Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment