Habari za Punde

Rais Dk Shein akagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za ZSSF, Mbweni

  Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo ya Ramani ya Ujenzi wa nyumba za ZSSF kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd,Abdulwakil Haji Hafidh wakati alipofanya ziara maalum kutembelea maendeleo ya ujenzi huo,huko Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 04/10/2016.
 Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo ya Ramani ya Ujenzi wa nyumba za ZSSF kutoka kwa Mkurugenzi Mtendajiwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Nd,Abdulwakil Haji Hafidh wakati alipofanya ziara maalum kutembelea maendeleo ya Mradi wa ujenzi huo,huko Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 04/10/2016.
 Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mipango,Uwekezaji na utafiti wa mfuko wa hifadhi ya Jamii Nd, Khalifa Muumin Hilali wakati alipofanya ziara maalum kutembelea maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Nyumba za ZSSF huko Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 04/10/2016. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Dkt.Suleiman Rashid Mohammed (kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipofanya ziara maalum kutembelea maendeleo ya Mradi wa Ujenzi  wa nyumba za ZSSF huko Mbweni Wilaya ya Magharibi Unguja leo,(kushoto) Meneja Mipango,Uwekezaji na utafiti wa mfuko wa hifadhi ya Jamii Nd, Khalifa Muumin Hilali,[Picha na Ikulu.] 04/10/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.