Msikiti wa Ibadhi Mkanjuni Pemba, ambao ilifanyika tathmini ya Hijja kwa mwaka 2016 , kupitia taasisi ya kusafirisha Mahujaji ya Al-haramain Development Foundation -Hajj Group.
Baadhi ya Mahujaj waliohudhuria Kikao cha Tathmini ya Safari za Hijja zinazosimamiwa na taasisi ya Al-Haramain huko katika msikiti wa Mkanjuni Pemba.
Katibu wa Jumuiya ya kusafirisha Mahujaji ya Al-haramain , Hassan Rashid Moh'd, akisoma Risala ya Jumuiya hiyo kwa Mahujaj- Kisiwani Pemba.
Baadhi ya Mahujaj waliohudhuria Kikao cha Tathmini ya Safari za Hijja zinazosimamiwa na taasisi ya Al-Haramain huko katika msikiti wa Mkanjuni Pemba.
Baadhi ya Hajjat waliohudhuria kikao cha tathmini ya Safari ya Hijja,zinazosimamiwa na taasisi ya Al-Haramain huko katika msikiti wa Mkanjuni Pemba.

Picha nn Bakar Mussa -Zanzibarleo - Pemba.
No comments:
Post a Comment