Habari za Punde

Siku ya afya vijijini ilivyofanyika Jambiani

 Wananchi mbalimbali wakiwa wamekaa katika vivuli kwa kusubiri matibabu mbalimbali yanayotolewa na Madaktari katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.

 Afisa wa Afya Wilaya ya Kusini Ali Mohd Haji akitoa vipande kwa ajili ya kupata huduma kwa madaktari katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 Afisa wa afya anaeshughulika na utoaji wa Dawa  Omari Kibuyu Khamisi akimpatia mwananchi wa Kijiji cha Jambiani dawa katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 Afisa mratibu wa Kifua Kikuu na Maradhi ya Ukoma Wilaya ya Kusini Karim Chwaya akitoa huduma katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.

 Daktari wa Macho kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Maulid Abdu Maulid akitoa huduma katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 Daktari wa Huduma ya akina Mama na Watoto kutoka kituo cha Afya Paje Nunuu Ali Makame akitoa mafunzo kwa akina Mama katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
 Daktari Bingwa wa huduma ya XRAY na Mionzi (Radiologist) Lyu Chang An akifanya uchunguzi wa XRAY katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini 
 Daktari Bingwa wa maradhi ya Masikio Dk,Fei akimfanyia uchunguzi Bi Bahati Pandu kutoka kijiji cha Bwejuu  katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini 
Daktari dhamana Wilaya ya Kusini Dk, Maulid Abdalla akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na matibabu mbalimbali yanayotolewa katika Siku ya Afya Vijijini  ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini 

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.