Habari za Punde

Waziri Aboud azungumza na waandishi baada ya kumalizika kikao cha Wawakilishi wa Pemba

 Waziri wanchi Ofisi ya Makamo wapili wa Rais , Mohamed Aboud Mohamed , akizungumza na baadhi ya Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Wawakilishi wa Pemba, kilichofanyika katika Ukumbi wa Tasaf Pemba, juu ya mikakati mbali mbali ya kupeleka maendeleo Majimboni kwao.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wapili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed, wakati alipokuwa akizungumza nao mara baada ya kumalizika
kwa kikao cha Wawakilishi wa Pemba kilichofanyika katika Ofisi ya Tasaf Pemba.

Picha na Bakar Mussa-Zanzibarleo-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.